Sitaki Mziki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Sitaki Mziki - Madee
...
(Staki tena mziki)
(Nimeachana na mziki)
Staki tena mziki (Staki tena mziki )
Staki tena kuimba (Staki! staki!)
Nimeachana na mziki (Nimeachana na mziki)
Naona umenishinda (Staki! staki!)
Staki tena mziki (Staki tena mziki )
Staki tena kuimba (Staki! staki!)
Nimeachana na mziki (Nimeachana na mziki)
Kiukweli umenishinda (Staki tena mziki )
Oya wana nipe michano nauliza kwa mfano
Huwezi pata hit mpaka uimbe Amapiano
Ama nifanye kiki nidanganye mashabiki
Instagram niko safi kumbe home kuna dhiki
Mziki hauko fresh tunakwenda sana race
Wana wengi wamekufa kwa madawa na mastress
Nshawahi pata kesi kumtusi mwanajeshi
Ngoma zinalia sana baa alafu hakuna cash
Toka niache mziki nna magari kibao
Toka niache mziki nna majumba kibao
Toka niache mziki nna madeal kibao
Kwa sasa nawachora wale wajinga wali wao
Staki tena mziki (Staki tena mziki )
Staki tena kuimba (Staki! staki!)
Nimeachana na mziki (Nimeachana na mziki)
Naona umenishinda (Staki! staki!)
Staki tena mziki (Staki tena mziki )
Staki tena kuimba (Staki! staki!)
Nimeachana na mziki (Nimeachana na mziki)
Kiukweli umenishinda (Staki tena mziki )
Promota anapiga simu nikafanye show
Ona mtu wa kati fala nae anataka doooh
Na kama hauna stimu nalo bonge la sooo
Viewers you can buy Tandale Kariakoo
Staki tena mziki umenipa dhiki
Umenipa maadui ukanipora marafiki
Staki tena mziki nangoja hatimiliki
Ndo mana mwaka jana niligombana na Nikki
Kama umekupa cash huu mziki achana nao
Vanessa Master Jay wote wameachana nao
Na kama hauna cash huu mziki achana nao
Mzee Yussuf si alirudi ashaachana nao
Staki tena mziki (Staki tena mziki )
Staki tena kuimba (Staki! staki!)
Nimeachana na mziki (Nimeachana na mziki)
Naona umenishinda (Staki! staki!)
Staki tena mziki (Staki tena mziki )
Staki tena kuimba (Staki! staki!)
Nimeachana na mziki (Nimeachana na mziki)
Kiukweli umenishinda (Staki tena mziki )