
Singeli Amapiano ft. Kidene Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2021
Lyrics
Singeli Amapiano ft. Kidene - Baba Levo
...
Nasema MI sijali wakiniita chawa, nataka singeli wahuni singeli amapiano wahuni cheza singeli amapiano we, singeli amapiano eeh, twende kwenye starehe uhakika tukalewe nasi ili twende tukanyolewe uhakika kuhusu supu ishapikwa macho matatu tu sms hujibu unavimba we kisa bando umepata kwa China unatuvimbia mwanaume unaimba taarabu unavimba wetu sio na nani uende kwa babu