Home ft. Lexas Mshairi, Liboi, Karembo, Murathe Ngigi & Kikete FM Lyrics
- Genre:Spoken Word
- Year of Release:2021
Lyrics
Tata, mamii
Musyi ikusio?
Kwi Chau, mukeo?
Kama i nzuu?
Maambie nzuku kana mwio nduu na atui?
Vee kala kamuunda ka kuithya mbui?
Kuma tui
Ilovi na mbloo ndyisi maingi
Navo kaingi
Naatie anarika maithi kambi
Maathi?
Stima waavika kana muutumia o tambi?
Nindi ngukwatya mbathi sya tata na mbano
Ayasya Ilovi andu ni aingi na kivathukanyo
Kunaa
Uthiawa minaa
Ikitite ukwiloela
Wona ndikia mbesa kinyasani kuasa ndukatate udonzela
Ona I nyumba nivungaa na ivuli ili
Na ndyuma ndilikanaa maundu mwambie
Kia Ngai
Kèli, Kia etu Kwi muthelo
Ndukakwatange simu ndukila lelo
Ni lahisi kukinywa i ngali
Tukwose sivitali
Isivie
Na ndwisuvia
Thengeangia
Kawasya ngooni yaku
Uoundu kakumya mwana musyi, kakakusyocha
Kakakusyocha
When I find home, you can come live with me
When I find hooome, you can come live with
When I find, When I find, When I find…
Am still searching for, home
Am still searching for home
Ju nimetoka ghetto wanadhani mi ni mang'aa
Kairetu ka Murang'a lazima nitang'aa
Hata wasemeje mi sijali
Nitazidi ku-push hii sanaa mpaka nirudi home na ka-car
Mama kutokwa na machozi akitupikia na kuni
Usijali siku moja nitakushikia ka-gas
Nipatie baraka zako mama
Hii industry si rahisi na ninataka kuwa star
Najua hukatangi but niki-come home nitakuletea smiles kibao
Ni mara mob tulirudi home tukapata kifuli ingine mlangoni
Nashukuru Mola hatukukosa cha kueka tumboni
And despite all ulinifunza nieke Mungu moyoni
Na ndugu yangu maombini
Ni dream yangu kukujengea keja na kukubeba na Lamborghini
Dream ya ku-get married nai-push kando kwanza nikujengee mama
So kabla nitoke nyumbani mama
Naomba baraka zako mama
Niombee afya njema na nguvu ya ku-push on mama
I'm still searching for home
I'm still searching for home
Najua hamu ya kutaka ku-become more
Than mazingira umekuwa born
Najua utamu wa ku-overcome
Na feeling ya mafikira kuwa torn
Between nostalgia ya historia imekuwa gone
Na mashaka ya possibility za kupata new home
Najua warmth ya kitanda kwa nyumba silipii rent
Na najua worry kwa kitanda
Nikihofia kufungiwa nyumba juu sija-pay rent
Najua satisfaction ya kumiliki bila kung'ang'ania
Na najua frustration ya kukaziwa kushiriki
Despite kuwa tayari kukufia
Nimecheki love bila blood kuwa shed or shared
Na nimecheki hate iki'strip entire families bare
Nimepata refuge kwa strangers
Na nishaihepa home kuepuka danger
Najua misplacement
Kuwa nyumbani yet uko lost kiplani
Najua replacement
Kujiskia mgeni ukiwa kwenu nyumbani
Najua displacement
Kupenda nyumbani na kushindwa kwenda nyumbani
Najua thrill ya kuwa mwenyeji na still kuto-belong
Najua skill ya kuandika lyrics
Na still kushindwa kuimba hii song
When I find home, you can come live with me
When I find hooome, you can come live with
When I find, When I find, When I find…
Am still searching for, home
Am still searching for home
Uh Aah!
Cells zangu zikini-free kwa brain
Pengine nitaepuka cells kwa police station
Ju nimezoea kujipata kwa O.B. hadi naona siwezi toboa
Na-find peace kwa base za playstation
Mi ni footballer lakini grao imeacha kuwa work station
Ju zile vitu na-connect nazo ni superficial
Reality ya mine haiko connected na freedom ya mind
Ju everytime na-feel out of place
Dreams zangu niki-chase
Maisha imenipeleka mbio hadi siwezi jog na-sprint
Mi ni Mkenya na wanasema life ni marathon
Lakini sielewi mbona niko teke teke
Nalia kwa show za comedy
Issue za huzuni zinafanya nicheke
Niko schizophrenic naongea na imagination yangu
Ju nikama nime-doze na dream ime-prolong
It's been a long time coming
I'm coming home
Kama Caesar na Rome
Mahali mrembo wangu ame-paint picture perfect kama Monalisa
After hapo tutakuwa na watoi kadhaa, Wangui na Lisa
Bila kuvuka Mediterranean tuta-feel at home bila visa
Khwama enang'oto
Bona luno khuliano
Khwama enang'oto wase
Bona luno khuliano
Bamanya bamanyile
Nokhamanyile ta
Se okhoya umanye tawe
Khupa khuche papa
Mwana wa mulongo
Mbiala kimisala
Kye kamalesi, ne kamatunda
Wakana kumukunda kulama
Kumumu nekulikho
Khwikhale, khupe lulomo
Bandu base, bakeke kamatore
Chinyenyi, khukhakula ta
Khutile kamausi
Nga ta, khukate khakhese
Kai burusia kumulio
Khayo ese nje ndere kamaru
Nanu olafulula vilenge, ne kumurwe
Namwe Mai Beatrice
Omusungu wa Bwisa?
Engo niyo eyo
Etauni ne imbila bubii
Njayo khombekho bubukhi
Nikhale ne Mai ne kha Kai
Mutuma kwosi nekwichile
Khwikhale khukachule
Engo niyo eyo
Okienja mu bandu
Ne kumukunda