Loading...

Download
  • Genre:Spoken Word
  • Year of Release:2021

Lyrics

Hatutachoka kusema tumechoka

Aii! Tumechoka

Hatutachoka kusema tumechoka

Aii! Tumechoka

Wenye mabuti wamebaki, Tumechoka!

Kutumaliza mitaani, Tumechoka!

Na wenye suti wamebaki, Tumechoka!

Kutuibia hadharani, Tumechoka!


Gava ushuru bado wanadai

Vijana mtaani na bado wana'die


Hallo! Hallo!

Tuko njaa na gava inakula njaro

Hiking kilimanjaro kujivinjaro

Mwananchi chini hajapata salo

Watoto wanazikwa na ma-paro

Barabara zinakaa mitaro

Na hata wakijenga ni kujijenga

Hizo matenga kwa benki ni ma-tender

zilifaa kupewa raia

Aiya!

Uongozi mbaya ka hii ya

Wao kudai retire

After mikopo wamezi-sire

Nani abaki lipa madeni haya

Ka si the common mlipa ushuru?

Apiganie uhuru

Alafu aishi ka squatter

Water

Stima

Huduma zote tunapimiwa kama jela

Na inatukera

Kutopora na wanadai ficha hizo figure kama dera!


Nacheki mababi Karen wakijiunga na maskini Kawangware

Engineers kushika nare na kujiunga na wasee wa mkono quarry

Wote wakisema pia si tutaji-organise!

Tuta-hold rallies

In tens

Then hundreds

Thousands

Na millions

Safari kwa maze

Oppressors waki-race on and on

Tusha-render billions invalid

Impending crash kwa podium

Juu driver na Co. wako too engrossed

In their own greed kuwa worried

Mark blackspot kwa ballot box

Juu hapo ndio careers zitakuwa buried

Tumechoka kuwa statistics

Mkijificha kwa pool baada ya kuwasha nare

Tumechoka kuwa punda

Burden zenyu tukizi-carry

Come witness covenant kwa mlima

Different kind wakisherehekea kijumla

Faith in "WE" ime-lift valleys


Hatutachoka kusema tumechoka

Aaaiii! Tumechoka

Hatutachoka kusema tumechoka

Aaaiii! Tumechoka

Wenye mabuti wamebaki, Tumechoka!

Kutumaliza mitaani, Tumechoka!

Na wenye suti wamebaki, Tumechoka!

Kutuibia hadharani, Tumechoka!


Taboo nazianika

Suruali ya ndani

Ukipenda chupi

Zima lights zinaficha

Kitale hadi Kwale

Wanacheza kamare

Waliahidi kupaka hewa rangi

Tukaamini

Abunuasi akule wali

Kwa harufu ya biryani

Ju waziri alipora hadharani

Na akashikwa

Isitoshe ndani ya karakana

Na bado akakana

Mwananchi akaandamana

Waziri akakua gavana

Tumechoka bana

Tumechora saba

Wao wanakopa

Walala hoi wanalipa

Jaji, polisi vitambi wanalinda

Sina keys za city

Kama wasafisha senti

Karao akule ka fifty

Nisilale kwa simiti

Tunabisha mlango

Wasipojibu, tutapita nao

Kama si sasa, si sisi

Nani ataseti kibiriti

Kimathi run hii akili

Do or die kimwili

Wakiekelewa tako kwenye jiko

Si sharti watainuka?


Nyumbani ni nyumbani

Lakini hii life imenionyesha pia inategemea nyumba iko wapi

Nyumba ni aina gani

Mawe ama mabati?

Chances ni ukiishi kwa nyumba ya mabati

Utaskumwa kuwa mwanaharakati

Uanze kurusha mawe kwa nyumba ya mabati

Kuepuka risasi yenye iko linked na kumaliza kizazi

Mishahara huchelewa lakini bullet huwa hazi-late

Number 15 langata tunazipanda sana

Ju tume-learn ku-debate na fate

Utasema tunaingia hell's gate kupitia cemetery

Shinda kupitia safari rally Naivasha

Letter of the law hai-make sense

Sai ju walitumia hadi Ocampo bahasha

Justice ina-drug kama kesi ya Akasha

Mombasa imejaa mateja

Lakini serikali ni mteja


Wanasema lion ndo king of the jungle

But point imefika itabidi punda ame-take over

Punda aketi kwa throne akitetea Wanjiku lion akule left-overs

Wanjiku anamwaga jasho ndo aweze ku-put food on the table

Kumbe mnateka jasho lake ndo muweze kuserereka

Wanjiku amechoka kunyanganywa mashamba

Wanakijiji wamechoka kunyanganywa kahawa

Maji kukatwa kila mwezi kama kawa

Stima kukatwa mtaani kunakaa kichaka

Bei ya mafuta inapanda ilhali tuna mafuta yetu Turkana

Wanjiku amechoka kuongozwa na fisi amevalia ngozi ya simba

Nani ataturudisha zile enzi unga ilikua themanini

Na sukari kilo thelathini

Juu tumechoka

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status