![Melisa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/06/58ef31ac33c040fdbb1115ec326c88c1_464_464.jpg)
Melisa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Melisa - Happy C
...
ee eeeh they call me Happy C 001
kiuno chake utasema kinu ama chupa ya soda aaai samaki nguvaa alivyo na body kama Vera sidika Kisura chake kama cha Tanasha Dona nilipomwaga mtama njiwa walidona kitabu chake Tayari nishakisoma kina hadithi tamu ya kusisimua
Rangi ya tenga haahee
Kaona tinga Haahee
Amenipenda na nampenda
Utamu wa punga haahee
Bila kimbunga haahee
Sijajivunga amenipunga haahee
Melisa I'm in love with you
Baibe Melisa love with you
Melisa I'm in love with you
Baibe Melisa love with you
Melisa I'm in love with you
Baibe Melisa love with you
Melisa I'm in love with you
Baibe Melisa love with you
Na kang'ata ng'ata sikio ooh ana tembeza ulimi kidogo akapa maufundi na kapagundi kanatanata bado kanataka kuni nioneshe alichokupa mama ni wasahau wa jana jibiringishe Baibe uzidishe utamu utamu utamu nikuridhishe Baibe usishuke utamu
Rangi ya tenga haahee
Kaona tinga Haahee
Amenipenda na nampenda
Utamu wa punga haahee
Bila kimbunga haahee
Sijajivunga amenipunga haahee
Melisa I'm in love with you
Baibe Melisa love with you
Melisa I'm in love with you
Baibe Melisa love with you
Melisa I'm in love with you
Baibe Melisa love with you
Melisa I'm in love with you
Baibe Melisa love with you
Love with you
Baibe baibe melisa aah ooh
Baibe baibe melisa aaa ooh
Aya namzamia hata akiwa jikoni
namzamia hata baharini
Aya namzamia aya kaa sebuleni namzamia
Hata sakafuni aya namzamia hata akiwa ufukweni namzamia jamani rahaa aya namzamia ooh mama ooh mama yee baibe baibe ooh the Uptownpigo yeiyei