![Mariana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/01/3465751ecf2742eba4b4c5cd7c7ded18.jpg)
Mariana Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mariana - Happy C
...
furaha yangu nimeishi na we
maishani mwangu
faraja yangu nikuone wewe machoni mwangu
na wala sitachoka kuona tabasamu lako
only you ,i don't wanna let you go
i don't wanna lose anymore
changu kiwe chako milele,
na chako kiwe changu milele
chebucha sali ni wewe,ni wewe
na chanda chema huvishwa pete
nyumbani kwetu nikupeleke