![Tausi Wangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/13/67019e4a8d2442c6b3262c03e47623a6.jpeg)
Tausi Wangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Tausi Wangu - Happy C
...
Uuu Aiya Aiyaa (Totti On The Beat)
Fungua macho uzione Kuna zawadi nimekuletea babe noo usigome kama ni mapenzi basi ongezea,asali yangu nairamba nmalize kibuyu wangu wa ndani ni mumunye me ni wako mabuyu usinitenge Kwenye msoto Kwenye joto ni fute jasho ni bembeleze kama mtoto uilinde hadi yangu wenye husda acha nao tumejenga Kuta ya kutengana nao wenye husda achana nao tume Jenga Kuta yei yee yee yee
Chorus
Tausi wangu wapekee (ooh ooo ) wapekee kipenda roho wapekee( eyie yee×2
Moto umeuzima siezi kwenda kwengine tume kula Yamini mm na ww umenivuruga umenifanya dondocha siwezi dondoka umenishikilia mapenzi tamu tamu unanipa na burudika na farijika mamaa wenye husda achana nao tumejenga Kuta ya kutengana nao
wenye husdaa achana nao tumejenga Kuta eyie yee yee.
chorus
Tausi wangu wapekee (ooh ooo )
wapekee kipenda roho wapekee( Eyee yee yee)×2
Ooo eee ouuui
Si mama wakuonee (ji shebe shebe due
cheza wakuonee(wakomeshe
si mama wakuonee(aah ringa ringa
cheza wakuonee (wakomeshe
si mama wakuonee (ji shebe shebe due
cheza wakuonee (wakomeshe
si mama wakuonee (aah ringa ringa
cheza wakuonee (wakomeshe
Sultan 001 the call me Happy C ye ye owee the Uptown Pigo
By Patrick Ticko