MUNGU MWAMINIFU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Aliye upande wetu, Ni Mungu mwaminifu,
Yesu mwana wa Mungu, Ni Mungu mwaminifu.
Hujishughulisha, Na mambo yetu
Ni Mungu mwaminifu.
Hasinzi, halali
Ni Mungu mwaminifu.
Aliye upande wetu,
Ni Mungu mwaminifu
Ametutuma Mungu
Kuifanya kazi yake, Tutafanya.
Tutakwenda sote
Kutangaza neno lake, Watu wapone.
Majeshi ya malaika zake, Yametuzunguka. Tumeimarishwa na nguvu zake, Bwana Yesu.
(Tumetumwa)
Na Yesu mwenyewe
Na Yesu mwenyewe
Anatenda kazi pamoja nasi
(Tutangaze neno)
Na watu wapone
Na watu wapone
Bwana Yesu yupo nasi
Yesu eeeh eeh eeeh
Tutakutumikia wewe.
Bwana ndiwe uvuli na msaada kwetu
Tutakutumikia wewe .
Yesu eeh eeeh eeh
Tutakutumaini wewe
Umekuwa mwema, Unatenda mema.