![Mshenga](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/25/4a24bcde4e234152bafc95088defa485.jpg)
Mshenga Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Mshenga - Galatone
...
wowoow aaah
wowowo mmmmh!
wowowo mmmh! aah aah
ewe mshenga nimekuja kwako
Mimi mnyonge gala tixs gala worera
kuna binti nampenda sawa bwana
uwe kwangu kama Ambrela
nilimwahidi vitu vingi vingi
sana hakunisikiliza hataki nili mwambia sina Mali zaidi ya upendo
nlichonacho ni samaki (ntakupa samaki) nani kwanini nisijivinangal
mahari ninayo niskize nisemacho mshenga, ananiona mi poyoyoyo
timamu akili ninazo apo wap nikashtaki wahenga, purukushani (haaa eeh)
haniamini(haaa eeh) hawezekaniiii(haaawezekani)
ila nadhani ni majinuni nlishaacha zamaani mshengaaaa, mshenga kamwambiae kwamba naumia roho naumiaaaa (naumia roho) mshenga kamwambie kama naumia roho naumiaaa
(naumia roho )nasema kamwambie kwamba .naumia roho naumiaaa ( naumia roho)aa mwambie kwamba mi naumia
roho naumiaaa ( naumia roho)
**********Add lyrics*********
nilimwambiaga zamani sanaaa aa,
anaekupenda humjuii ii,haya mapenzi
yalikuepo zama na zama kuna maziwa
na tuiii nilimwambiaga zamani sanaa
anayekupenda humjuii iii, haya mapenzi yalikuepo zamani na zama
kuna maziwa na tuiii ningempa
anachotaka angekosa angekopa ilimradi anikubaliyeee moyo wangu
umeshachoka amechora makopa
mwambie anifikirieee upendo uniteka (balaa) mwambie mi nauguza jeraa
kama barua nlishaleta mshenga (mshengaaa) mpaka sasa hata
majibu haijazaaa mshenga kamwambie kwamba naumia roho
naumiaaa ( naumia roho ) mshenga kamwambie kwamba naumia roho
naumiaa (naumia roho)nasema kamwambie kwamba naumia roho
naumiaaa (naumia roho ) mwambie kwamba Mimi bado naumia roho
naumiaaa ,(naumia roho )
umuombe nimpe (anielewe)
nafasi nimpateee (niwe nayeee,)
niandamane kotee (sema nayee)
na nyuzi nizikateee (aaaah ahh)
na kama shamba nimpee(anielewe)
mikononi nimkumbateee(niwe nayeee)
tuendane kivyivyoteee( sema nayee)
waleoana siku zotee """"""""" galatton
orera olale yeeee @