![Sina](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/24/d325f0df9b634fee8dd6c2c158adb0d6_464_464.jpg)
Sina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Sina - Galatone
...
Kimbelembele Leo sina, sioni mbele hata mwanga humezima
Nuru huwambata na jina, kimekauka kisimaaa
Leo japani kesho china, umenizika ng'ali hai mzima
Nuru nimekwamia kwenye Kona, nimeisha ikosa heshima
Yale yote ya ndani umeyamwaga hadharani
Jando sikwenda mie namsimuliaga nani
Hamani sina
Hata mali Sina
Mwenyewe upendo wa dhati sina
Nimebakia jina
Nitabaki mwenyewe
Moyo umeishalia Sanaa
Nitabaki mwenyewe
Nimesha nyanyasika sanaa
Nitabaki mwenyewe (eeeeeeeeh)
Moyo umeishalia Sanaaa
Nitabaki mwenyewe (oooooooh)
Nimesha nyanyasika sanaa (aaaaaaaah)
Mmmmmmh
iye iye iyeeeh
Mmmmm (mmmmh)
Naweza kuwa chumvi so sukali, nisikufae kwa chai
Kitendawili tega teguwa aaaah, kwa mama kuku na yai
Aliye kufurahishaaaah, vyote kuniliza nimekubali
Umenichora umenifulia mbali, umeikatisha safari
Aaaah
Mama no ukipenda uwe radhi hata kwa ushuru
Hapanaa vita gani soweto na mkabuluuu
Yale yote ya ndani umeyamwaga hadharani
Jando sikwenda mie namsimuliaga nani
Hamani sina
Hata mali Sina
Mwenyewe upendo wa dhati sina
Nimebakia jina
Nitabaki mwenyewe
Moyo umeishalia Sanaa
Nitabaki mwenyewe
Nimesha nyanyasika sanaa
Nitabaki mwenyewe (eeeeeeeeh)
Moyo umeishalia Sanaaa
Nitabaki mwenyewe (oooooooh)
Nimesha nyanyasika sanaa (aaaaaaaah)
Mmmmmmh
iye iye iyeeeh
Hamani sina
Hata mali Sina
Mwenyewe upendo wa dhati sina
Nimebakia jina
Mmmmmmh
(Sina sina Tena raha)
iyo ngorela ngorela
ngorelaaa