Samaki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Samaki - Galatone
...
mimi ni mvuvi toka kaskazini baharini
sina chochote mfukoni
sihusiani kabisa na madini
hivi nitakupata na nini
usiku kucha nakesha mtoni
haiba imepotea usoni
mapenzi hayana makazi,malazi
utayapata popote duniani
ila na imani toka moyoni
umeiteka ramaniiii
tena uletwe mzani upimwe upendo wangu
nitatoka number one eeeeh(2)
aaaaaaaaaayaaaaaah
Ntakupa samaki unikubalie
Ntakupa samaki(samaki eeeeh)(4)
tam tam tam tam tam tam tam
mmmmmmmh aaaaah
Mwenye mapenzi yako
mchuzi wa thamani yako
Nikupe samaki hautaki
nuru laaaai wa pwani
mtoto wa al-wattan
Ata kwenye baraza ukashtaki
Si kwa wali mkavu
na kwa chukuchuku chai
Ntakuletea jodari ufurahi
(mzuri wewe)
Usio na fikra chakavu
Nkiondoka ntakupa neno byebye
Wangapiiiii wenye wingi wa mali
Mapenzi yao ni mafuta na maji
Tamatiii nitakupa samaki
Kuhusu upendo hii ni kama dibaji(2)
ila na imani toka moyoni
umeiteka ramaniiii
tena uletwe mzani upimwe upendo wangu
nitatoka number one eeeeh(2)
ayaaaaaaaaaaa
Ntakupa samaki unikubalie
Ntakupa samaki(samaki eeeeh)(4)
Nikupeleke visiwani ukale
pweza na tasiii
(ntakupa samaki)
Au twende mwanza ukale
sangara na satoooo
(ntakupa samaki)
Aiseeeeeeeeee
Tupande treni twende ujiji
Tukapate migebukaaa
(ntakupa samaki)
Tumalize tanga nyumbani
ukale jodari na ngisiiii
(ntakupa samakiii)
oooh crisssss to*w
created by Alves shebbz daniel on facebook and instagram