Shukurani (feat. Godliver) Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2021
Lyrics
Shukurani (feat. Godliver) - Belnus
...
Asante Asante
Asante Shukurani zangu Ni kwako
Asante Asante
Asante Shukurani zangu Ni kwako
Verse 1. (Belnus)
Umeniheshimisha umenipa kibali
Kuitangaza injili na ninajali
Hata waniseme sijali neno nitatafakari
Wewe nikurudishie Nini Mimi
Umenipa kufurahi Bwana wangu sitorudi nyuma kulitangaza hili hili neno la uzima
Nimepigwa mawe Mimi hukuniacha
Nitasimama nawe mpaka Kufa kwangu
Niseme Nini Mengi umenitendea shukurani zangu Baba nitakupatia
Asante Asante
Asante Shukurani zangu Ni kwako
Asante Asante
Asante Shukurani zangu Ni kwako
Verse 02. (Godliver)
Umenikinga na watesi wangu
Umenipa kutembea kati yao Bwana
Hujawahi sinzia unilindaye mlinzi wangu
Hata nijapopita kwenye uvuli wa mauti Bwana sitaogopa lolote kwa maana ninaye Yesu gongo lako na fimbo yako hakika Bwana vyanifariji
Niseme Nini Mengi umenitendea shukurani zangu Baba nitakupatia
Belnus:
Niseme Nini Mengi umenitendea shukurani zangu Baba nitakupatia
Asante Asante
Asante Shukurani zangu Ni kwako
Asante Asante
Asante Shukurani zangu Ni kwako
Godliver:
Niseme Nini Mengi umenitendea shukurani zangu Baba nitakupatia