Mbali ft. Princess Nyota Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Ooh mbali umenitoa mbali Umenitoa mbali
Nakuabudu wewe
Ooh mbali umenitoa mbali Umenitoa mbali
Nakuabudu wewe
Yale mapito yangu
Ukayaondosha yote
Ukanifanya upya mimi ehh
Tena fedheha yangu
Ukaifanya heshima
Leo ninakuimbia wewe Bwana
Aaah aaah
Umenihuisha umenitakasa
Ooooh nafsi yangu nafsi yangu
We Bwana Umenijua umenibariki
Wewe Ni Bwana wangu ni Bwana Wangu
Ooh mbali umenitoa mbali Umenitoa mbali
Nakuabudu wewe
Ooh mbali umenitoa mbali Umenitoa mbali
Nakuabudu wewe
Umeniweka huru Yesu
Kutoka kifungoni iiih iih
Umenivika nguo oooh
Kuniondolea aibu
Kama si mkono wako
Nisingekuwa hapa mimi
Oooh ningetupwa mbali mbali Mbali iih
Naimba leo ni salama rohoni Mwangu ni salaama tena leo ni Salama oooh
Naimba leo ni salama rohoni Mwangu ni salaama tena leo ni Salama oooh
Wewe ni Mkuu Baba
Haufananishwi na vitu vingine Baba
Nakuimbia wewe Baba wewe Baba aaah