Unikumbuke Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wale ulowachagua nami nione
Wale ulowaita nami niite
Wimbo wa kushukuru nami niimbe
Niseme ameniona Bwana
Nimechoka kulia lia
Kila siku wa kutukanwa
Wakisema siwezi lolote Bwana
Nimechoka kulia lia
Kila siku wa kutukanwa
Wakisema siwezi lolote Bwana
Nivushe nivushe
Nivushe Bwana
Ooh
Nikumbuke nikumbuke
Nikumbuke Bwana Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Mmh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Ukitizama vigezo wala sikidhi vyote
Nikitizama nilivyo wala sikubaliki
Zikufae na dua zangu Bwana unikubali
Ndo maana nakusihi wewe unikumbuke
Nimechoka kulia lia
Masimango mateso pia
Maumivu na kusengenywa
Wewe Unikumbuke
Nimechoka kulia lia
Masimango mateso pia
Maumivu na kusengenywa
Wewe Unikumbuke
Nivushe nivushe
Nivushe Bwana
Ooh
Nikumbuke nikumbuke
Nikumbuke Bwana Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Mmh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Mmh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana
Ooh unikumbuke
Nikumbuke Bwana