
Nikupe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nikupe - Willy Paul
...
Hey baby please slow down (Pozze)
Bwana mkunaji anakuitaree(Saldido)
Hey baby please slow down
bwana mkunaji akona birthday
hapa tu ni kucheza kitamu eh
na madem wamekuja kinomareh
Kuna ma Odi na mabambi vibayareh
na salamu imeshika ni ngumi mbwekse
watoto wamebeba mpaka za jirani
na wamekuja na akina nani
alafu ndani hakuna ninii
uuh
just imagine
fanya Mandingo
upite na wako
usiogope chukua wako
fanya Mandingo
utoke na wako
usiogope chukua wako
(chorus)x4
njoo nikupe nikupe mpaka kwenye Koo
njoo nikupe nikupe mpaka umwage mate
(Nikupe nikupe nikupe hadi kwenye Koo
jamani nikupe nikupee mpaka kwenye Koo X2)
na wale wako Shashi wavute mashashola watoe mooshi
waruke kimasai nikama wamechizi wakule moori
eh heii
hebu free your mind
usiogope tena when you see your type
hey, hebu free your mind
usiogope tena when you see your type
hapa tu nikucheza kitamureh
na madem wamekuja kinomareh
na ma Odi na mabambi vibayareh
na salamu imeshika ni ngumi mbwekse
(chorus x4)
njoo nikupe nikupe mpaka kwenye Koo
njoo nikupe nikupe mpaka umwage mate
(nikupe nikupee mpaka kwenye Koo
jamani nikupe nikupee mpaka kwenye Koo x2)
Leo nikuparty party
baby just party party
Leo nikuparty party
baby just party party
Leo nikuparty party
baby just party party
Leo nikuparty party
baby just party party
wuh!
mpaka kwenye Koo
mpaka umwage mate
mpaka kwenye Koo
mpaka umwage mate
mpaka kwenye Koo
mpaka umwage mate
mpaka kwenye Koo
mpaka umwage mate