![Aheri Mama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/14/9eac265231074992bda7f777f9d60b9f_464_464.jpg)
Aheri Mama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Aheri Mama - Willy Paul
...
Ooh mama
Mama
Mama
I could never ask for more
Mama amor
Yawa aheri mama
I could never ask for more
And there's a day
Inapita mama
Najua Kuna wale hawana wamamama
Sio kupenda kwao
Najua Kuna wale hawatanielewa
Na sio kupenda kwao
Ile nyumba ya fadhee ya kumalizia
Nikumalizie
Mama
Ile deni uliachiwa
Nikumalizie mama
Na ile nguo ulitamani ya jirani
Nikununulie mama
Mama
Mama
Mama
Mama
Mama
Ooh I remember Salome
Nilipokosea, ulinichapa Kidogo
Na, Nilipokosa chakula mama ulitafuta mama
Majirani walituchekelea mama
Hata sijui mbona nalia
Mbona nawaza mama
Sijui maaana nalia
Sijui mbona nawaza mama
Aheri mama
Ahh mama
Mama
Ahh mama
Mama
Ah mama
Mathee, najua unamumisi mume wako fadhee
Ooh pole I say, nimumisi kama mwana wake
Mama I gat you
Anything you want just tell me