![Kaweka](https://source.boomplaymusic.com/group2/M05/DC/E8/rBEeNF0fmVKALkqXAABYDr4uUEU352.jpg)
Kaweka Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Kaweka - Rich Mavoko
...
Niwekeze kwakooo upendo unikopee
Nilegezeee macho nilewe hadi kopee
mwenzioo mwenziooo nakutazama kioo
baby no baby no usitamani bishoo
I say(kaweka)
Nikizungusha(kaweka)
Nikiinuka(kaweka)
Kalivyo na mizuka(kaweka)
I say mama yeah(kaweka)
Nikibinuka (kaweka)
kanaipukuta(kaweka)
mpaka kwa ukuta(kaweka)