Natamani (feat. H_art the Band) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Natamani (feat. H_art the Band) - Rich Mavoko
...
hahahaha
sedog
natamani kuwa na wewe ila Mapenzi Yana mwenyewe
nimengangana Sana
ila moyo wangu nachoka
natamani kuwa na wewe ila Mapenzi Yana mwenyewe, nimengangana Sana Ila moyo wangu nachoka
unajuwa me badman Mapenzi navirinda