Tololi (feat. Ssaru) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tololi (feat. Ssaru) - Rich Mavoko
...
(Ssaru ) ... (aah... sodom)
Amenipenda kisa gengtsa nampa mapenzi mpaka amenipa enka niko tayari hata ndoa ya mkeka, alegeze mahari kwake mi nishaloweka
wehujuwi tu kwako nime kwama umenishinda wivu .... wehujuwi tu enka enka huko nyuma nisha chambuwa chelechui anaujuwa tusipunguze moto nidekeze ka mtoto nipeleke kama tololi ... mami ka kitololi ... tololi mami ka kitololi ... tololi tololi tolili ka kitololi.
Aah toroli toto lilifanya mpaka unifollow mi ndo unanipa penzi sijali kama nila kikoloni now am all about toka DP mpaka moyoni nanitakufata pale ulipo hata ukienda chooni gidha inasonga na wakati unakaribia mi nangoja uniulize ka niko idha ya kukuzalia situnawatoka wakikuja kuharibia mechi nakupa bure so service unalipia ( wehujui tu ) aah navyotaka kukupa penzi ndo milele utanienzi ( wehujui tu ) ahh navyokomesha washenzi tukiwa kwa ndudhi ama Benz.
Huko nyuma nisha chambuwa chelechui anaujuwa tusi punguze moto nidekeze ka mtoto nipeleke kama tololi mami ka kitololi.. tololi mami ka kitololi tololi tololi tololi ka kitololi
Collo usiogope kuni borrow unapenda ukiwa na earth then ya tishat ya pollo ... vile nakwambia mami kwako sina fear bad girl nata ahh.
Aah minadata mapenzi ndo yameanza leta matata eei nasita muacha nimeganda sibanduki minime chacha ahh
Nipeleke kama tololi mami ka kitololi tololi mami ka kitololi tololi tololi tololi ×2