Utaniuwa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Utaniuwa - Annex Sound
...
Intro/
It is Asound beat
Annex Sound once again
(Topland Production)
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Uta uta utaniuwaa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Uta uta utaniuwaa
Verse 1/
Getho Boy sina pupa
Check hizo figure ninadai
Kuzigusa eeh!
(Kuzigusa)
Hebu nenda kisha kuja
Nataka kuona hizo haga
Unavyo zizungusha eeh!
(Zungusha)
Mi ndo Paster wa ghetto
(Gethoo)
Kuja tufukuze mapepo
(Pepoo)
Nakuamini my Angel
Hauna sura ya magendo
I say back it up
Back it up
Jiggle on the beat
(Aaaah)
The way you drive me crazy
I will never quit
(Aaah)
Kama tab tab
Wala sio drip,
Manga manga
Hinti hilwa shidit
Chor/
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Uta uta utaniuwaa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Uta uta utaniuwaa
Verse2/
Turn around I wanna take
A photo
(I wanna take a photo)
Nikukumbuke ikifika kesho
(Ikifika kesho)
Eeh
Niseme taamu kama sukari
Ah ah
Niseme taamu kama asali
Ah ah
Niseme taamu kama sukari
Ah ah
Niseme taamu kama asali
Ah ah
Asa Baby hold hold on
(Hold hold hold on)
Asa Baby go go down
(Go go go down)
Asa Baby hold hold on
(Hold hold hold on)
Asa Baby go go down
(Go go go down)
Chorus/
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Uta uta utaniuwaa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Uta uta utaniuwa
Verse3/
Ikifika kesho
eeh
Niseme taamu kama sukari
Ah ah
Niseme taamu kama asali
Ah ah
Niseme taamu kama sukari
Ah ah
Ooh oh ni bora zaidi.
Asa Baby hold hold on
Asa Baby go go down
Asa Baby hold hold on
Asa Baby go go down
Chorus/
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Uta uta utaniuwaa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Ukiongeza utaniuwa
Uta uta utaniuwaa
(Ma cheri ooh)
Utaniuwa
(Unavyo nibaniaa)
Utaniuwa
(Kisha ukikatika)
Utaniuwa
(Aaah aah)
Uta uta utaniuwaa
End/
Hahahah
Mziki Ni Dawa