![Amapiano](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/25/03634fafd2784e0b8c10cb9f90cbc0f1_464_464.jpg)
Amapiano Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2023
Lyrics
Amapiano - Annex Sound
...
Asound, Annex On The Beat
#Verse 1
Chillin' in the moonlight, feeling the cool breeze
Sipping on my drinks , bringing me some peace
Amapiano beats are playing, filling up the air
Got that vibe that makes me forget all my cares
Mwambieni landlord afunge milango,
Ntalala club nikidance amapiano
Muziki mtamu, haunaga shida
Tukusanyike tule raha kabisa.
Aah eeh
#Pre-Chorus
We are left in pure bliss
A feeling we won't miss
Forever in our hearts
The true work of art
#Chorus
Tucheze Amapiano,
Tucheze Amapiano,
Tucheze Amapiano
Yani kama hakuna kesho.
Tucheze Amapiano,p
Tucheze Amapiano,
Tucheze Amapiano
Yani kama hakuna kesho.
#Verse 2
Leo ikiwa unataka mashahiri(mashahiri)
Simama kwa miguu yako miwili,
Wewe uenda kwa bibi
Lights are flickering, creating a magical glow
Melodies intertwine, taking us high and low
The bassline thumping, making our hearts race
As we move on the dancefloor, leaving no trace
Oya waiter jaza mitungii
Tufurahi hadi asubuhi
Twende mbele (Mikono juu)
Twende nyuma (Mikono juu)
Twende mbele (Mikono juu)
Twende nyuma (Mikono juu)
Twende mbele (Mikono juu)
... (Mikono juu)
#Chorus
Tucheze Amapiano,
Tucheze Amapiano,
Tucheze Amapiano,
Yani kama hakuna kesho.
Tucheze Amapiano,
Tucheze Amapiano,
Tucheze Amapiano,
Yani kama hakuna kesho.(×2)
#Outro
Yani kama hakuna kesho
Yani kama hakuna kesho