![Chuma Ulete](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/20/66b9fec501344e468cac78d8dd256269.jpg)
Chuma Ulete Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Chuma Ulete - Rayvanny
...
Nahisi nina bahati mbaya
kipi nilichokosea
nikijaribu kutafuta, shida ndo zinakolea
Mfukoni hali mbaya
siokwamba najitetea
ile pesa ya kusuka mbona nilikuletea
mawazo yani yananikolea nikupe nini usijepotea,nungura yani ninanyongea, lilinde penzi lisije teketea, vitungu mboga za majani laki tano kwenye genge, nyama to nikupe milioni kwani unapika chenge, sijana to nimelipa pochi na doti za vitenge, viatu juu ulivyo jumua kamaunadukwa mwenge,
chuma ulete, chuma ulete, (mwezie )
chuma ulete nisije nikakubadili jina
nikakuita chuma ulete ×2
...............
pesa sio nguvu za milundi, kunyanyua jiwe juu Chini , tukitoka unakuja na kundi, garama zote ju yangu mimi,tena nasa pesa kama hundi, sasa mimi nitumie nini,kila siku kushona kwa fundi, kama mpambaji wa shulini,ati nguva inaita, mara mapande sita ,ushathani umeshika akuna fasheni inakupita, juzi ulikuja niita,wataka mchele chele sahani tisa,mama mbona unanitisha kwani unafuturisha,
mawazo yani yanikolea, nikupee nini usijepotea,nungurayani inanyongonyea lilinde penzi lisije teketea,vitungu, mboga za majani laki tano kwenye genge ,nyama to nikupe milioni kwani unapika chenge, sijana to, nimelipa pochi na doti za vitenge, viatu juu ,ulivyo jumua kama unaduka mwenge,
(yeeeeeeeeeh)chuma ulete
chuma ulete (yeeeh chuma)
mwezie chuma ulete, nisije (chuma) nikakubadili jina nikakuita chuma ulete,(chuma ma ma ma)chuma ulete (chuma mama)mama chuma ulete (chuma mama)mwezie chuma ulete, (chuma mama)nisije nikakubadili jina nikakuita juma ulete (aaaaaaaah wewe chuma chuma mama