![Wasi Wasi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/20/77a70494de884c35ab10a5093d799519.jpg)
Wasi Wasi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Wasi Wasi - Rayvanny
...
mmh upepo mwanana nawe upo kifuan mwangu jua likizama
mikono salama karibu kwenye moyo wangu mi baba uwe mama aaah
zima taa washa mishumaa nilishe kama nanjaa aah aaaah aaa aaah aah
kila dakika kila masaa palilia penz litasinyaa aah aaaah aaa aaah aah
sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mama aah aaa
taswila yangu picha yako moyo wangu mali yako we chaguo langu mamaaaa aah aa
(wasi wasi) mwenzako sina mana niko na wewe
(wasiwasi) tunza heshima niwe nawe milele
(wasiwasi) eeh uko na miiiimi usiwe na (wasiwasi) uniamiiini usiwe na wasiwaaass
ntakuganda ruba uwe na leso tufatane
mahabuba tuwe mapacha tufanane
wenye husuda wakiroga tutengane
ongeza rutuba nije na pete tuoane
supu chuku chuku miguu ya vikuku aaae utaua eeh (utaua eeeh)
nayo na manusu nusu ukinibusu busu aaae maua eeeh (maua eeh)
sura yako macho yako upole wa mama yako wee chaguo langu mama aah aah aa
taswira yangu picha yako moyo wangu mali yako we chaguo langu mamaa aah aaah aaa
wasiwasi