Snake (feat. Chidi Beenz) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Snake (feat. Chidi Beenz) - Brian Simba
...
Singida Dodoma
Man, wish ungemuona!
Met her Jozi nnaposoma Kozi (Course)
Sura, Body, Ngozi yake noma
Girl, natoka Daressalaam
And they all say that ipo Wastani
Ila She wants some
And I told her all about the Bapa Bottles
And she really hopes that ata pop one
Dah, Mpaka nafanya madancehall maana baby anamkubali popcaan
Na kina burna boy Na kina Gyptian
Kama Rasta, I had to ask her, Hiyo nanilii
Inatoshaje kwa suruali, ah
Ndo maana maUncle wanahonga mali
Mkono kiunoni kila mahali
Lazma nilinde mali. mhuni sina habari
Move your body like snake ma
Washangae ka′ Cinema
Nikiomba usijenitema
Napenda unavyotetema
Move your body like snake ma
Washangae ka′ Cinema
Nikiomba usijenitema
Napenda unavyotetema
Zero mbili kama burger yaani wowowo
Chini miguu ya kichagaa hilo wowowo
Kichuguu akikanyaga yaani wowowo
Nalinywea sana Lager yaani wowowo
Cmon
Fresh from school, Wings redbull
Tings like Timber, Timbaland Maguu
Ilala tunaita kitu vimba, Kitu kitunGuu
Ila kinatia Mimba, Ukipenda makuu
Sexy sexy Shakira, Me Vocal bound Killer
Ting a ling a ling, Kitandani sitoki bila
Beautiful queen akizungushaga Dera
Ronaldinho scene akichezaga mpira
Mama toto akitingisha, tingisha pampam
Change unarudisha,Tapika utam tam
Anavyobadilika, Leta masham sham
Logaaa me kabisa, Chizi kwa zamu zamu
Mama toto akitingisha, tingisha pampam
Change unarudisha,Tapika utam tam
Anavyobadilika, Leta masham sham
Logaaa me kabisa, Chizi kwa zamu zamu
Move your body like snake ma
Washangae ka' Cinema
Nikiomba usijenitema
Napenda unavyotetema
Move your body like snake ma
Washangae ka' Cinema
Nikiomba usijenitema
Napenda unavyotetema
Nikampeleka Arachuga, Halafu Zenji
Mh akichomoa ameua bendi
Mshenzi. naonesha maufundi Mengi
Agome kurudi kwao Ka Dully na Baby Candy
Halafu ghetto lenyewe la kiGangsta tu
Njaa inakata kwa mawazo ya pesa
Juu ya kitanda tunafanya kitu inanesa
Hata sielewi jinsi nlivomteka duu
Move your body like snake ma
Washangae ka' Cinema
Nikiomba usijenitema
Napenda unavyotetema
Move your body like snake ma
Washangae ka' Cinema
Nikiomba usijenitema
Napenda unavyotetema