ZAZA (feat. Mr. Blue & Scar Mkadinali) (REMIX) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
ZAZA (feat. Mr. Blue & Scar Mkadinali) (REMIX) - Brian Simba (TZ)
...
Verse 1
Kila bar ninahang na machef na meneja
Hata na mateja
Na maslayqueen wanaokunywa champagne kwa mirija
Ey
Anywhere i go with the team ni balaa na ni Danger
Kwa ujumla tunagawa dose kwa maEmcee
Unaweza pata rejareja
All white Uncle Guni Tee na macamouflage kama ninachill na wajeda
Nikiwaga ke na mwanangu al b huwa njnachill tu kwa Keja
Anauliza "how a small nigga like u ila Daresalaam yote unaibeba?"
Nawambia "uuh.. Hata sio ishu.. Huu mtiani nilionaga past paper"
Nkisepa.. Narudi zangu Daressalaam kutembeza mikwaju na mboko
Emcees gotta understand hip hop sio kushine na viwalo vya mkoko
Rap ni maendeleo leo pandisha kaghetto balaa na mkoko
Na ndo maana, uh silali.. Kama popo
Hook
Na ndio maana ah!
Silali × 7
Na ndio maana Dah!
Silali ×7
Verse 2
Na ndo maana aahh..
Nipo machoo
Ukitaka jua ninahustle
Cheki tee ilivoloa jasho
Eti kisa sijavuta ndinga ninanyewa sana na hawa vijana wenye passo
Kumbe pisi zao zinakuja kwa magetto.. Na wanangu wanashikaga matako
Hatuna time mbulula!
Huwa hatujalishi sura
Tulivoshine ka mwanzo wa video ya icecream ya Noorah
Kazi kuwaza mamulla, nacheki machura
Najipa makura
Ebu piga Uncle Guni
Dogo anauliza "umekula?"
Mi nalala jicho moja
Jicho jingine haifungi ka pharmacy... sinza
Na wachawi wamekua wengi.. Kanno kanambia wakinsogelea nawachinja
Fake niggas cant ball wimme nawaInjure
Man nimekua ka Ninja
Flow zangu zimekua tamu kama chai yenye ginger cuz
Hook
SHARE THE LYRICS
“SILALI” TRACK INFO
Produced ByThroneboy
MUSIC VIDEO