Siko sober Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2020
Lyrics
Nimefika kwenye club ns mfuko umejaa
Nashangaa nitafanya nini ntanunua nini
Wasichana pande zote wamebaki wakizubaaa
Nishaona mrembo mgani napeleka nyumbani
Let me take you home
Leo nimejipanga
Nimeomba keja na kadinga
And I'm so sure
You're forever my lover
But before we go there's one thing that you should know
Siko sober siko sober siko sober siko sober na napenda kukatika

Nimetoka kwenye club na zangu zimenice
Nimepata msichana mrembo napeleka nyumbani
Nikafika corner mbaya afande akacome
We kijana unaendesha gari mbona ukiwa maji
Nikamshow mimi sina ubaya
Kashike ka chai na ndazi moja
And off we go leo nimeponea
But before we go you know I know that you know
Siko sober siko sober siko sober siko sober na napenda kukatika
Siko sober siko sober siko sober siko sober na napenda kukatika
Are you happy
Ooh are you happy
Are you happy
I'm feeling happy