Dia mama Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2024
Lyrics
Barua hii hapa ninakuandikia
Najua mpenzi nilikukatisia
Hapa nilipo baby me naumia sanaa
Pahali ulienda me sina idea
Naskia fununu ati uko busia
Na mpango ya kuianzisha familia mamaa
Nilikuwa nimepata jiko
Nikakutesa nikakuumiza ona sana mama
Ukaniacha mimi single
Sitaki mwingine mpenzi ni we
Nakuomba msamaha
Ju kila siku nilifanya ukalia
Sikuwa naona we ni malkia
Na vile ulienda it was very clear
Siwezi pumua ukiwa mbali dia mama
Baby siku hizi me hujipikia
Njeve kitandani siwezi vumilia
Rudi tu nyumbani ninakuapia
Nitabadilika ntakuita dia mama
Wazazi nyumbani wanakuulizia
Nashindwa ni nini mimi nitawaambia
Ya kwamba mapenzi nilijiharibia sana
Na hapa nilipo baby naumia
Ata heri kifo without you my dia
Na siwezi kuacha kukufikiria mamaa
Nilikuwa nimepata jiko
Nikakutesa nikakuumiza ona sana mama
Umeniacha mimi single
Sitaki mwingine mpenzi ni wewe
Nakuomba msamaha
Ju kila siku nilifanya ukalia
Sikuwa naona we ni malkia
Na vile ulienda it was very clear
Siwezi pumua ukiwa mbali dia mama
Baby siku hizi me hujipikia
Njeve kitandani swezi vumilia
Rudi tu nyumbani ninakuapia
Nitabadilisha tu yangu tabia mamaa
Najua nilikuwa mnaughty
Nimebadilisha mienendo sikuchochi
Nakupigia tu magoti
Nakuomba msamaha baby I am sorry
Promise ilikuwa when I'm forty
Ntakuoa baby ntavalia hiyo koti
Nataka unizalie ka copy
Niko tayari baby niko ready kushoti
Ju kila siku nilifanya ukalia
Sikuwa naona we ni malkia
Na vile ulienda it was very clear
Siwezi pumua ukiwa mbali dia mama
Baby siku hizi me hujipikia
Njeve kitandani swezi vumilia
Rudi tu nyumbani ninakuapia
Nitabadilika ntakuita dia mama
Usiniumize roho
Mpenzi rudi nyumbani
Usiniumize roho
Mpenzi rudi nyumbani
Usiniumize roho