Bibi nyumbani ft. Kimbassax Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2024
Lyrics
Ata bado sija settle
Manzi msupa ashajileta
Anadai tu mingle
Ati hey handsome uko single
Ashanikaribia nishaanza kutokwa jasho
Ama ni Imani unanijaribu bana
Ama ni shetani amekutuma mama
Acha kunipunish niko na mtu bana
Ata sio funny hapa ni taabu sana
Umeiva lakini oh mami mi sitaki kisirani
Hiyo sura shepu figure inafanya nikutamani
Kawaida tutabonga mwisho tujipate kitandani
Nimechoka kucheza cheza ju nina bibi nyumbani
Aah mi nina bibi nyumbani
Maskani nina mke anananipenda
Na niliapa sitajawai kumcheza
Lakini kuna vile wanipendeza
Na ka hii ndo dumba basi
Back to the sender
Ama ni marashi inavutia sana
Labda niko maji naona zangu bana
Ama ni mavazi ju sketi ni fupi sana
Ata si utani hapa tutakulana
Umeiva lakini oh mami mi sitaki kisirani
Hiyo sura shepu figure inafanya nikutamani
Kawaida tutabonga mwisho tujipate kitandani
Nimechoka kucheza cheza ju nina bibi nyumbani
Aah mi nina bibi nyumbani
Umeiva lakini oh mami mi sitaki kisirani
Hiyo sura shepu figure inafanya nikutamani
Kawaida tutabonga mwisho tujipate kitandani
Nimechoka kucheza cheza ju nina bibi nyumbani
Aah mi nina bibi