Achibella Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nime like huyu dame joh Achibella
Aki come through ye hu come na Mavela
Sss Eeeih
Feeling much better
Don't fall in love jua ye atakucheza
Nime like huyu dame joh Achibella
Aki come through ye hu come na Mavela
Sss Eeeih
Feeling much better
Don't fall in love jua ye atakucheza
Atakucheza na bado anakupenda
Atakupenda na bado atakucheza
Ako all in just for the pleasure
Achibella kama sio pesa joh ni Vela
Ana take time
Ndio uingie box ana fake kuwa nice
Ukishamsort ana switch sides
Ashakua rada kuna fisi on site
Everyday niggaz wanapanga tu line
Wakidai ku drink that fine looking wine
Achibella mjanja anacheza tu na time
The deeper the pocket she's stuck there all night
Ye hupenda zile big big cheques
Akipiga lap za mtaa ana flex
Juzi alidropiwa stage na mark X
Wasoro wana watch tu in Silence
Nime like huyu dame joh Achibella
Aki come through ye hukam na Mavela
Sssss Eeeih
Feeling much better
Don't fall in love jua ye atakucheza
Nimelike huyu dame joh Achibella
Akikam thru ye hukam na Mavela
Sss Eeeih
Feeling much better don't fall in love jua ye atakucheza
Atakucheza na bado anakupenda
Atakupenda na bado atakucheza
Ako all in just for the pleasure
Achibella kama sio pesa joh ni Vela
Achibella baby akidai stick stick
Ye huni call anyday of the week
Mishoni ametoka analeta tu gifts
Siezi complain mi ni hustler hizi streets
Ma ninjaz wanabonga wakisema ati huyu amebebwa na manzi yake ye hana shit
But mi sijali coz huyu dame namfeel
Ananipenda mi najua ni the real deal coz
Nime like huyu dame joh Achibella
Aki come through ye hu come na Mavela
Sss Eeeih
Feeling much better
Don't fall in love jua ye atakucheza
Nime like huyu dame joh Achibella
Aki come through ye hu come na Mavela
Sssss Eeeih
Feeling much better
Don't fall in love
Jua ye atakucheza
Atakucheza na bado anakupenda
Atakupenda na bado atakucheza
Ako all in just for the pleasure
Achibella kama sio pesa joh ni Vela