
Waba ft. Jesan & Mnaya Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Na come tunakata ki waba
Hennessy in a tumbler
Waba
Shada
Tuko kora ya saba
Tunacome tunakata ki waba
Hennessy in a tumbler
Waba Shada
Tuko kora ya saba
Waba kata shada farter
Cheki my niggas ni starter
Na bado nazidi kukata
Leta ki lighter na washa
Ya kuni tupisha rada
Na come na mbili three A plus
Pia inaweza ku murder
Wacha ikam venye itakam
Mi nadai kui murder
Piga shot ya waba
Kunja face ki master
Na kuja mi master
Nigga naitaka
Hennessy nai chapa
Bruce lee ki Jet lee
Mi Jackie Chan mi mbaya
Mnaya
Mbaya
Huko east na wa feast
Everyday of the week
Four twenty huwa lit
Fire wire
Gstr giant
Jina kubwa on the list
I thank God messiah
Haters wetu follow the leader
Maombi zetu zina sikika
Niko na G nigga nafika
G O D is my leader
Jenga mwili haribu jina
Tu na dai ku pasua ma speakers
Tu na sikika
Mi na chachisha
Gstr niggas zimetushika ye
Zimetushika Zimetushika Zimetushika
Tunachachisha Tunachachisha Tunachachisha
Zimetushika Zimetushika Zimetushika
Tunachachisha Tunachachisha Tunachachisha
Tunacome tunakata ki waba
Hennessy in a tumbler
Waba shada
Tuko kora ya saba
Tu na come tu na kata ki waba
Hennessy in a tumbler
Waba shada
Tuko kora ya saba
Waba kata Shada farter
Cheki my niggas ni starter
Na bado na zidi kukata
Leta ki lighter na washa
Ya kuni tupisha rada
Na come na mbili three A plus
Pia inaweza ku murder
Mzinga zimekam
Kila mtu na yake
Coz si ni Gz
Dame nimemshikia cocktail
But kitu anadai tu ni rizz
Amebeba G bag
Naskia rumours mali ni ya Wiz
Please
Weka filter now smoke it with ease
Down Cup iko empty
Wacha basi twende tu re fill
Sitaki shida petty
Leta maji mimi ni ji kill
Drip
Drip ina overflow kwa mwili
Feel rich
Nadai ku juggle ma milli
Atleast nikiwa high
Mi hu live the dream
Police na ma bad vibes
Sipendi hizo links
Napenda tu ma good vibes
Marinate that bitch with drinks
Ame fall in love with me
Jina Mnaya anadai kujichora ink
Risky
Mwizi
Kua rada mehn
Utawekewa mchele ulale mpaka Friday
Tipsy whiskey imeland yeah
Tunakata maji Monday mpaka Sunday
Nacome tunakata ki waba
Hennessy in a tumbler
Waba shada
Tuko kora ya saba
Tunacome tu na kata ki waba
Hennessy in a tumbler
Waba shada
Tuko kora ya saba
Waba kata shada farter
Cheki my niggas ni starter
Na bado na zidi kukata
Leta ki lighter na washa
Ya kuni tupisha rada
Na come na mbili three A plus
Pia inaweza ku murder