Form ft. Jesan & Mnaya Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Hii ni ngori ngori
Washajua nakam na form
Form
Hii ni ngory ngory washajua na form
Washajua na come na form
Wakicheki Gstr tuna come
Wanabaki waki zone
Hii ni ngory ngory washajua na form
Washajua nacome na form
Wakicheki Gstr tuna come
Wanabaki waki zone
Wanabaki waki zone
Niko on
Na siedi home
On my phone cheki wakicall
Nakam nastep nadrop na heavy form
Fiji fiji
Maji ya fiji ya natoa kwa fridge
Am fresh like waba nakam na ice
Cheki my chain inadrip
Yeaaa
Cheki ni form tunakam kudrop ma fantasy
Niko na G's nawaita Family
Gstr Family
Nakam na form na remedy
Medicine
Nawapea heavily
Washa kingwai
Niko makali walai
Najua unadai
Wapigwe matembe za A plus
Smiley face
Highgrade hii ni A class
Zikinishika kwa kichwa my nigga
Namedi na paper
Am insane
Gstr with a major
Tunakam na gang form inajaza keja
Hii ni ngory ngory
Washajua na form
Washajua nakam na form
Wakicheki Gstr tunakam
Wanabaki wakizone
Hii ni ngory ngory washajua na form
Washajua nakam na form
Wakicheki Gstr tunakam
Wanabaki wakizone
Haterz Wanabaki wakizone
Gstr tunakamingi na form
Bulldog wa Eastside
Napiga laps
Cheki nina roam
Nyama nachoma
Nadishi pamoja joh na Chrome
You know
All them cute girls to the side
Cheki nawatolea fom
Na bado kuna venye nina rhyme
Good vibes shida zote zina slide
Natoa hits adi wanadai buda hio ni crime
Na bado hatujafika Prime
Juu tuko mbele ya time
Slowly na rise
Huwezi ni find
Chini ya maji cheki nipate na flip flops
To the top climb climb
Kama jack and the beanstalk
Paper nachase whoop
Secure the bag
Secure the big bucks
Lazima ni shine
Nikichora lines
I ain't lyin whoop
Drip on my neck
Secure the big rocks
Hii ni ngory ngory washajua na form
Washajua nakam na form
Wakicheki Gstr tunakam
Wanabaki wakizone
Hii ni ngory ngory washajua na form
Washajua nakam na form
Wakicheki Gstr tunakam
Wanabaki wakizone