Penzi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Penzi - Rayvanny
...
Wasafi record ........produc
nawaza kwanini sikumjuwaga zamani
Ohhh mama
pendo lake nzito mpaka lavunja mizani
Ohhh mama
yeye na mimi kachori shar khan
Ohhh mama
Wasojuwa mapenzi pole jamani
vinjali kua bachelor aibu gani
aliyumba dunia
akayaumba na mapenzi
Wala akukosea
ila mwenzenu mi siwezi
mi nilisha penda ila nika twenda
moyo vidonda masikini rooohh
mbona nili konda
licha kuonga kueka vibanda
nilisha omba poo
mwenzangu bado ujajua baki unicheke
kwako yame chanua Ngoja unyauke
andazi sikitumbua acha mapepe
ukipendwa tanua kwanini usideke
(Rayvanny) (in love)
jamani nimependa mie Nime penda mie
nime penda mie nataka nimuweke ndani
(harmonize) (heart broken)
mwenzako nime tendwa mie nime tendwa mie
nime twenda mie Mapenzi siyatamani
rayvanny ves 2 .....
ana mapenzi ya bara
kachanganya na pwani
vip nitajina sua..
rangi kama chotara shepu sio mjapani
ana shingo si vibuaa eeeh
ame umbika sina budi nisifie
akipika natamani nilipie
Sehemu ya panga uliweka kiwembe
ndomana mwasi akaona ajichekee
(harmonize ves too)
kwa wenzako sikia Sikia mwana
ila kwako utalia Utalia sana
minilikuwaga fundi Fundi zaidi yako
Power ka mirundi
ikiganda kama sumako
nakutia pesa madegedege asiniache
mi nika mchanganya akole asiwake
penzi upepo wa bahari
mara akosi shwari
Yakichange hatari we usiombeee
(Rayvanny in love)
jamani nimependa mie Nime penda mie
nime penda mie nataka nimuweke ndani
(Harmonize heart broken)
mwenzako nime tendwa mie nime tendwa mie
nime twenda mie Mapenzi siyatamani
(Rayvanny in love)
jamani nimependa mie Nime penda mie
nime penda mie nataka nimuweke ndani
(Harmonize heart broken)
mwenzako nime tendwa mie nime tendwa mie
nime twenda mie Mapenzi siyatamani
(Rayvanny in love)
jamani nimependa mie Nime penda mie
nime penda mie nataka nimuweke ndani
(Harmonize heart broken)
mwenzako nime tendwa mie nime tendwa mie
nime twenda mie Mapenzi siyatamani
nimependa mie Nime penda mie
nime penda mie nime pendea mie
nime tendwa mie nime tendwa mie
nime twenda mie Nime tendwa mie
(lyrics add by Anzu record)
music maker in the Wasafi record