Danger Dinji ft. Brandy Maina Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Danger Dinji ft. Brandy Maina - Movaz Warombosaji Nation
...
Chi
Ah Chi Ah Chi
Karunu ni kugonamba Chi
Aijajaijaijaijaija
Movaz Movaz
Put your hands up in the air air air air air
Put your hands up in the air air air air air
Put your hands up in the air air air air air
Put your hands up in the air the air
Yoh Kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji
Yeah dinji danger dinji
Oh yoh kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Oh you kunzela, kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Oh yeah kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Ah Yebo
Na mangitez wako wapi zee wako wako wako
Na mangwetez wako wapi zee wako wako wako
Warombosaji ndo kufika de ndo kufika de
Put your hands in the air
Hataka huna fare
Mi najua umelemewa
Hizi drinks Jo zimetepwa
Mavibare tu kwa hewa
Mangeos nao wamebeba
Hi bash jo imeweza weza
Mi na crew tunajibamba eeehh tunajibamba
Na ako kangeos mi nadai namba ayayaya
Mi Nadai namba
Nikikawai ntakanyoroshanga
Na hio beat nimeimada
Si nimeimada
Yoh Kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji
Yeah dinji danger dinji
Oh yoh kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Oh you kunzela, kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Oh yeah kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Ah Yebo
Me na mbogi tunacome through
Bash ni lit kiwashe baadaye ndio tuburn tu
Yengs ni wengi apa ratio leo ni times two
Design tunawabeba utadhani ni matatu
Hello ey what's your name
Pewa remy na plus jane
Waiter ey please keep change
Kama vibe ni right please bump your head
Yeboo
Put your hands up in the air air air air air
Put your hands up in the air air air air air
Put your hands up in the air air air air air
Put your hands up in the air the air
Eeh nikukatika
Leo nikuKati Katika
Leo ni fiesta aah forever aah
Leo nikuparty hakuna kwenda
Leo tumekuja kuwatekanga
Mavinembe ndani ya keja wamebebanga
Leta tei leta vela tunawashanga
Ju Leo ni kuparty katika
Leo nikuparty after party
Leo nikuchachi chachisha
Piano piano, me I Know me I know
Cheza hio piano, piano piaa
Piano piano, me I know me I know
Cheza hio piano, piano piaa Yebo
Cheza hio piano
Cheza hio kitu
Yoh Kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji
Yeah dinji danger dinji
Oh yoh kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Oh you kunzela, kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Oh yeah kunzela kunzela
Hapa utapata vela
Kuja dinji yeah dinji danger dinji
Karunu ni kutesa kukompa
Ni kutesa na amapiano
Karunu kutesa kukompa
Karunu nikigonamba
Karunu ni kugonamba
Karunu ni kutei
Nikupate ukilala kitandani no hapa
Karunu ni kutesa kukompa
Ni kutesa na amapiano
Karunu kutesa kukompa
Karunu nikigonamba
Karunu ni kugonamba
Karunu ni kutei
Nikupate ukilala kitandani no hapa
Karunu ni kutesa kukompa
Ni kutesa na amapiano
Karunu kutesa kukompa
Karunu nikigonamba
Karunu ni kugonamba
Karunu ni kutei
Nikupate ukilala kitandani no hapa
Yeah no hapa
Ah yebo
Aijajiajiajai
Ah yebo