![Matoti ft. Karineila](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/19/f20694c66bf44d10ab0979f7c9b0cab0_464_464.jpg)
Matoti ft. Karineila Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2024
Lyrics
Saa mbili niko kejani
Nko easy niko majani
Naingia tiktok, nacheki jirani
Anadai ni tap tap eeh taap taap
Ulisemanga time is money
nikona time so sipotezi wakati
Nikiona ngoko ananidai
Nina tap tap eeh taap taap
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Don't leave me hanging
Uliza pedi Leo tunawasha wapi
Don't leave me hanging
Uliza pedi leo tunawasha gani
Matoti nazipinga za chang'aaa
Mahennesy na Gin na savanaaaah
Watoto nawamixx na guaranaa
Guaranaaa Tukigwarana
Warembo wako hapa wamezubaaa
Na Mimi niko hapa nakataaa
Siezi simp Mimi ni mang'aaa
Me mang'aaa nimee kataaa
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Don't leave me hanging
Uliza pedi Leo tunawasha wapi
Don't leave me hanging
Uliza pedi leo tunawasha gani
Tuko matot na mashasssh
Wamepiga mashot kwa basssh
Please don't russsh
Please don't run
Feel the burn
Pitisha zikam
Ukifikisha usijam
What did You say
What Did You Tell Them Ndio Wadhani that tuko Insane
Men ,We ain't the same, all I need is money I don't give fuck about the fame
Tuko mateiiii tuko majani na tuko mandom (tuko mandom)
Punguza beiiii na tukiwa ndani tunatoa fom (toa fom)
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Piga matoti piga matoti
Piga matoti na ulale
Don't leave me hanging
Uliza pedi Leo tunawasha wapi
Don't leave me hanging
Uliza pedi leo tunawasha gani