![Reject Finance Bill](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/26/ce9184dc44414ad281cc16d28796d6dd_464_464.jpg)
Reject Finance Bill Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Ati kuna boy alidedi manze juu ya change
Say his name rex alikua only 29
Future got robbed at an early age
Juu ya hizi tax MPigs wetu wanaraise
If the bill was normal hatungekua hapa
But sasa ni abnormal ndio maana tuko hapa
Walishasahau kenya inakam kwanza
Ona sasa kumbe walikua wanatupanga
Tuliona mlivote
Na hii sio threat
Ni either muriject bill ama tumueject
io kidogo yenye wananchi wanaget
Ndio gava inataka yote kucollect
Come 2027 mtataka tuwaelect
But itakua ngumu ju mlituneglect
Endeleeni kutusnob hatutastop,
Tutawalk hizi streets tukisema tena
Zakayo zakayo zakayo zakayo
Shukisha tax shukisha tax shukisha tax
Kuna watu wana confuse this
Si ati tunachukianga polisi
But Last Tuesday sikubambika
Vile Manjege walikua wamezua vita
Teargas everyend
Mabaddies wana represent
Wanadai kutuend
But bado si tunareject
Na Huyo devo amedunga kaunda suit
Na Hii kiburi si ni ya muda ni muda tu
Kuna siku utashuka
Siutashuka tu