![Pokea (Shukurani)](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/BE/DF/rBEeM1zAG9mAbw02AADBwphn3Ng069.jpg)
Pokea (Shukurani) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Pokea (Shukurani) - Janet Otieno
...
pokea shukrani.zangu pokea×3
oooooh
machozi yananitoka nikiketi chini nifikirie
umbali nilikotoka hata sijui vipi nisimulie,
mwema umekuwa mwema kwangu,
tena umekuwa nguzo.yangu
umenifunzasubira ukanizingira kando.na kando
tena wanisikia nikianguka waniinua eeehhh
sasa mahitaji naweka kando sitasahau mema
na ningependa ujue vile moyo unafurahishwa na we
maneno yananiishia umenishangaza kwa matendo yako vile unanikumbatia sina lingine lilobakia nii
pokea shukrani.zangu pokea×3
ni wewe ulinifunza ati.shida ni.utumwa wangu
tena ukanifanya mwana ndani ya ufalme wako
neno lako ni.taa hata kwa giza nimulikiwe
tena wewe ni jiwe mikianguka nishikiliwe.
matendo yako yameninyamazisha siwezi laumu
mkono wako wa kiume umenishindia magumu
na kila mara wanikumbuka kwa mipango yako miema
yale mabaya waniondelea umeniwazia mema
maneno yananiishia umenishangaza kwa matendo.yako. vile unavyo nikumbatia sina lingine lilobakia ni
pokea shukrani zangu pokea×14