![Tulia](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/34/B3/rBEeqFwI_MWAIZ_zAAEQYHGOPco805.jpg)
Tulia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Tulia - Janet Otieno
...
Baraka zake Mungu haina huzuni hebu tulia
Haji mapema wala hachelewi hebu tulia
Ahadi za binguniii si kama dunianiii
Asemalo ni kweli aliyeahidi atatimizaaa
Mama aliyetokwa na damu kaguza pingo akapona
Nami nitakuja kwa hamu
Nitatulia eh!
Wakati wake Mungu
Maadui zako watalia wote
Atatenda kwa majira yakeee
Mungu si kiziwiii
Anasikia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Tulia tulia tulia
Tuliaaa
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Tulia tulia tulia
Tuliaaa
Mwanadamu hanajibu ndani ya maisha yako
Aliyekuumba anakujua na kutambua[ooooh]
Usijali na lolote
Mche Mungu kwa chochote[mwambie]
Kinachokuumiza moyo ooooh[mwambie]
Tunaye Mungu aaiyeshindwa na lolote
Hakuna chozi nzito kwake asifute
Atakupatia wimbo mpya Atakupatia ushuhuda
Kilichoshindikana mwambieee
Wakati wake Mungu
Maadui zako watalia wote
Atatenda kwa majira yakeee
Mungu si kiziwi
Anasikiaaa
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Tulia tulia tulia tulia
Tuliaaa
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Yuko na mpango na wewe tulia
Tulia tulia tulia
Tuliaaa
Wakati wake Mungu
Maadui zako watalia wote
Atatenda kwa majira yake
Mungu si kiziwiii
Anasikiaaaaah