![High](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/14/b713b47926864cf0861712350cdd047b.jpg)
High Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
High - Aila Voice
...
Yeeiye eh iieh
Roho na mwili vilikutanaje?
Ukaumwba kipenzi changu.
Eeh Jah have blessed me
Like a bird lets fly free
Dakika moja, ingia kati jimwage vinogile
Acha uoga, sahau ya jana ya kesho tupa kule
Dakika moja, ingia kati jimwage vinogile
Acha uoga, sahau ya jana ya kesho tupa kule
Tunayo today kesho sio granted
Shilingi mahitaji, pumzi ndo muhimu
Tunayo today, kesho sio granted
Thats why calm i stay, deep i meditate and
Nikiwanga low ninakuwa high
Patanga kidogo ninakua high
Yani kama doo ninakuwa high oh yeah oh yeah
(Pull me the right direction)
Nikiwanga low ninakuwa high
(in to higher dimension)
Patanga kidogo ninakua high
(In a higher vibration)
Yani kama doo ninakuwa high
(The right direction)
(Higher dimension)
(Higher vibration oh yeah)
Nikiliwaza penzi lako, akili inanivurugika mno
Unaniponza mwenzio, kujifungua wazi wazi
Dakika moja, ingia kati jimwage vinogile
Acha uoga, sahau ya jana ya kesho tupa kule
Dakika moja, ingia kati jimwage vinogile
Acha uoga, sahau ya jana ya kesho tupa kule
Tunayo today kesho sio granted
Shilingi mahitaji, pumzi ndo muhimu
Tunayo today, kesho sio granted
Thats why calm i stay, deep i meditate and
Nikiwanga low ninakuwa high
Patanga kidogo ninakua high
Yani kama doo ninakuwa high oh yeah oh yeah
Nikiwanga low ninakuwa high
Patanga kidogo ninakua high
Yani kama doo ninakuwa high oh yeah oh yeah
(Pull me the right direction)
Nikiwanga low ninakuwa high
(in to higher dimension)
Patanga kidogo ninakua high
(In a higher vibration)
Yani kama doo ninakuwa high
(Pull me the right direction)
Nikiwanga low ninakuwa high
(in to higher dimension)
Patanga kidogo ninakua high
(In a higher vibration)
Yani kama doo ninakuwa high
Ishirini kona pindisha,
ulichopewa mama tingisha
Tisini dakika kamilisha
Wape miuno mama tiki tikisa