![Mndani wangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/14/b713b47926864cf0861712350cdd047b.jpg)
Mndani wangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mndani wangu - Aila Voice
...
Ooh uu oh ooh oh
Ninavyotaka ananipa
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae
Dunia tairi limenipeleka
Sipo nilipo
Tegemea ntafikaga
Ni baraka au neema
Kuvuka mapito
Na mateso nlopitiaga
Ningetamba ila kwetu
Tumekatazwa mwiko
Si ndo laana inaitwaga
Kukupata wewe ni
Bahati na sito
IChezea
Mndani wangu ni wewe
Nina moyo wangu
Ila unamiliki wewe
Aaanha
Uwe wangu milele
Ili watoto wangu
Wawe wangu na wewe
Ninavotaka ananipa
Nikiwa nae naspendi
(Good times)
Ninavotaka ananipa
Nikiwa nae naspendi
(I feel special)
Nikiwa nae naspendi
Ninavotaka ananipa
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae naspendi
Ni wewe nilikungoja
Nimefall nishafall
Na nitafall everyday
Maishani tuwe pamoja
Unajua nimefall na
Nitafall every day
Ni wewe nimekungoja
Nimefall nishafall
Na nitafall everyday
Nilinde tuwe pamoja
So inlove nitafall
Nishafall anyways
Mndani wangu ni wewe
Nina moyo wangu
Ila unamiliki wewe
Aaanha
Uwe wangu milele
Ili watoto wangu
Wawe wangu na wewe
Ninavotaka ananipa
Nikiwa nae naspendi
(Good times)
Ninavotaka ananipa
Nikiwa nae naspendi
(I feel special)
Nikiwa nae naspendi
Ninavotaka ananipa
Nikiwa nae naspendi
(Good times)
Nikiwa nae naspendi
Ninavyotaka ananipa
Nikiwa nae naspendi
(i feel special)
Nikiwa nae
I am feeling so special
so special
So special
Anhaaa
So special
I am feeling so special
So special
So special
Aanhaa
So special
AAaanha
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae naspendi
Nikiwa nae naspendi
Eeeeh hey yeeh
Aanh