![Nikiliaga](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/14/b713b47926864cf0861712350cdd047b.jpg)
Nikiliaga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nikiliaga - Aila Voice
...
Oouoo ouoh
Your number one! Ninajipooza
Angali najua you are using me only
Huna nia mbaya, that i know
Ninajidanganya nisiwe lonly huh
Ninajua ni mbaya na unanitenda ubaya
Ili nishikwe na hasira Nikuache vibaya ila ninakupenda mbaya nakupenda mbaya
Ninajua ubaya ila unanitenda ubaya
Ili nilipe baya, unanifanyia ubaya
Hee iyeah
Jinsi siwezi kukuacha
ndugu wanasema nimechanganyikiwa,
Batani siendagi tena
nahofu marafiki nao watagundua
Nuru imenitoweka
Mi nakutaka ila we hujatulia
Nyumbani siendagi tena
Aibu wazazi nao wakigundua
Akishaanza nishika haniachi
Ananigusa kwa ustadi ya jana ninasahau
Nikimshtakia ninayo yasikia
Anilaghai ninasahau
Ashanifanya mi
Nikaliaga eah ah
Lia ah ah eh ah ahe eh
(Na sikomi yaani)
Naliaga eh ah
Lia ah ah eh ah ah eh
(NIkaliaa)
Nkaliaga eh ah ah
Lia ah ah eh ah
(Oooouh)
Naliaga eh ah ah
Lia ah ah eh ah ah eh
Ni waste of time
Ila penzi lako ndo nataka more and more
Because ni tamu yeeahe
I know you are not mine
In the mean time
can you let me enjoy your love
With all i,
With all i have
Jinsi siwezi kukuacha
ndugu wanasema nimechanganyikiwa,
Batani siendagi tena
nahofu marafiki nao watagundua
Nuru imenitoweka
Mi nakutaka ila we hujatulia
Nyumbani siendagi tena
Aibu wazazi nao wakigundua
Akishaanza nishika haniachi
Ananigusa kwa ustadi ya jana ninasahau
Nikimshtakia ninayo yasikia
Anilaghai ninasahau
Ashanifanya mi
Nikaliaga eah ah
Lia ah ah eh ah ahe eh
(Na sikomi yaani)
Naliaga eh ah
Lia ah ah eh ah ah eh
(NIkaliaa)
Nkaliaga eh ah ah
Lia ah ah eh ah
(Oooouh)
Naliaga eh ah ah
Lia ah ah eh ah ah eh
Nkalia
Nkalia
Nkalia we mama wee
Nkalia
Nkalia
Nkalia we mama wee