![Inani Affect ft. The Band Beca](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/11/2470c63766dc419fae3a8b94c61360c0.jpg)
Inani Affect ft. The Band Beca Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Inani Affect ft. The Band Beca - Naiboi
...
Inanniiafecti inaniaffect *7
Tuko place flani bila simu so rimotsi
Nimejiingiza kwa shida za wadosi
Toto flani kando yangu namsosi
Inaniafect inaniafecti
Drinks on me hiyo ni njaro ya before
Drinks on the house hiyo ndio vibe am on
Scent so strong naeza tell na cologne
Inaniaffecti inaniafecti
Niko nai mbogi tumejaa jaa jaa
Lighter zimewaka jicho nya nya nya
Daily gava yetu inatukaranga
Pigeni nduru (inaniafeccti)ulalalaa
Inaniafecti inaniafect inaniaffecti inaniaffect*6
Diri