
MONICAH Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
MONICAH - Naiboi
...
(Oh, oh , oh oh oh, Anaiboi yeyee Oteroo , eh, eh, eh eh eh , oh, oh, oh oh oh , eh, eh, eh eh eh )
Anytime you want some ulala,hallo
Pick- up your phone and call me
Nitakam kuzima moto
Anytime you want some mulla la,
hallo
Pick-up your phone and call me
Nitakam kuzima moto
Napenda saa, napenda saa, napenda saa, napenda saa, napenda saa, napenda saa, napenda saa
Napenda saa
My baby say she caught on fire
Yeyeye
Fetch me water
Kwa macho yake Mi ndio saviour , Mi ndio msela kakinuka
Nikimada nijiekelee
She don't kiss and tell, she undercover
Alafu mabaadae tuko moshi, tuko gauge
Ya maji na vodka
Monicah, umeshika mdundo
Mpaka siku hizi speaker zinaita
Na umesababisha worry
Monicah, ngozi imelainika tangu
uanze zako za America
Haters wako funeral
Anytime you want some ulala,
hallo
Monicah my baaby
Pick-up your phone and call me
Nitakam kuzima moto
Anytime you want some mulla la,
hallo
Pick - up your phone and call me
Nitakam kuzima moto
(Napenda saa, napenda saa, napenda saa, napenda saa, napenda saa, napenda saana, napenda saa
Napenda saa) X2
Hapa sasa situation me and you,
tuseme
Na niko so close to you
Ningevuta sio tu nivenye
Hapa kila mtu na wake ndio tu
dore
Na Sisi vijana wa mtaa
Situkataka viiibe
Monicah umeshika mdundo
Mpaka siku hizi speaker zinaita
Na umesababisha worry
Monicah, ngozi imelainika tangu
uanze zako za America
Haters wako funeral
Anytime you want some ulala,
hallo
Monicah my baaby
Pick-up your phone and call me
Nitakam kuzima moto
Anytime you want some mulla la,
hallo
Pick - up your phone and call me
Nitakam kuzima moto
Na saa
Anytime any saa...
Napendwa saa