Kwendaa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Kwendaa - Khaligraph Jones
...
(Depo on the beat )
Sipendi mangoma za Kenya(Kwenda kwenda)
Mi sitambui omollo(kwendaa we kwenda)
Aah si huyu boy huringa(kwendaa kwenda)
Mi huskia ye huhire madinga(kwendaa shenzi!)
Mi sipendi hizo mangoma(kwenda kwenda)
Mi sitambui Omollo(kwenda kwenda)
Manze huyo boy huringa(kwenda we kwenda)
Mi huskia ye huhire madinga(kwendaa shenzi)
Imebidi nijirushe kwa debe(imebidi nijirushe kwa debe)
Hizo makura lazima nibebe(hizo makura lazima nibebe)
Rao na ruto wameingiza njeve(kijana anasema wanataka kujua)
Omollo pekee ndio amesimamisha reggae(omollo omollo omollo)
Ka nakuboo chukua wembe umeze(mezaa!)
Na hapa sikuji ndio niwabembeleze(kwendaa!)
Swag imetii imepandishwa ndege(zoom zoom zoom!)
Nakashikisha utadhani ni veve(ooh ooh ooh )
MCSK wanahitaji mateke(MCSK wanahitaji mateke)
Nitakuja kwa ofisi niwabakishe ndethe(kwendeni huko matako)
wasanii ndio mmeamua mtese(wasanii ndio mmeamua mtese)
kwenda pesa zetu mlete(kwendaa)
Mi nitawakatakata hizo pembe(mi nitawakatakata hizo pembe)
Wera hampigi nyi ni wazembe(wera hampigi nyi ni wazembe)
Hakuna kuhepa kwanza tujenge(tupeeni hizo mapesa)
Rende ni rong,mbogi ni genje(rende ni rong mbogi ni genje)
Mavijana wanalia unenge(mavijana hawajadishi kakitu)
Na bado mnafinyilia wagenge(pesa iko wapi we nilipe)
Kwa sai tumegoma wacha kaende(wacha kaende mimi sitaki)
Na siko solo niko na kirende(na siko solo Niko na ki)
Sipendi mangoma za Kenya(Kwenda kwenda)
Mi sitambui omollo(kwendaa we kwenda)
Aah si huyo boy huringa(kwendaa kwenda)
Mi huskia ye huhire madinga(kwendaa shenzi!)
Mi sipendi hizo mangoma(kwenda kwenda)
Mi sitambui Omollo(kwenda kwenda)
Manze huyo boy huringa(kwenda we kwenda)
Me huskia ye huhire madinga(kwenda shenzi)
Mashonde kwa DM lakini sijibu(sijibuu!)
Juu najua ni jina unataka kuharibu (haribuu)
Ukiachwa achika achana na wivu(wachana na wivu)
Na mimi omollo mimi sijibu(omollo)
Na ka sikutaki nitakuambia (kwendaa)
Ju nikiwa juu ndio nyi hunipenda(pendaa)
Chorea hii mbogi inaeza kutenda(tenda)
Na chini ya waba wakona ajenda(hahaha)
Nikiwa kayole utanipata kwa proface(proface proface)
Ju huko ndo mi husupply ndoces(whoop whoop whoop)
Ngoma nauza utadhani ni tokens(tiii tiii tiii)
Hakuna teke trust the process(Vroom vroom vroom)
Na ka ni collabo utabonga na franko(franko franko)
Amekuwa manager kutoka campo(Campo campo)
BET nominee buda na run show(omollo omollo)
Omollo unatesa manze jo kam slow(iyeeee)
Ah nyi MCSK ni mafala(kwendaa kwendaa)
Ah Mnatupeleka hasara(kwendaa we kwendaa)
You gotta pay what you owe(kwendaa kwendaa)
Nasema nataka hiyo doh(kwenda shenzi)
Manze tumechoka na curfew (kwendaa kwenda)
Uhunye jo rada ni chafu(kwendaa kwenda)
Si uskie kilio ya watu(kwenda we kwenda)
Ghetto mbogi iko njaa tu(kwenda shenzi)
Sipendi mangoma za Kenya(Kwendaa kwendaa)
Mi sitambui omollo(kwendaa we kwenda)
Aah si huyu boy huringa(kwendaa kwenda)
Mi huskia ye huhire madinga(kwendaa shenzi!)
Mi sipendi hizo mangoma(kwenda kwenda)
Mi sitambui Omollo(kwendaa kwendaa)
Manze huyo boy huringa(kwendaa we kwendaa)
Mi huskia ye huhire madinga(kwendaa shenzi )
Kwendaa kwendaa!
kwendaa kwendaa!
kwendaa kwendaa!
kwendaa kwendaa!
Kwendaa!