
Asante ft. Kusah Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Asante ft. Kusah - Khaligraph Jones
...
oooo oooooo oooooh
Na nimefumbua macho kuna wezangu wa melala.
leo me ndo ninacho kunawezangu hawajala.
Japo umenitoa kwenye shimo.
Umenipa upendo usiokipimo.
Wakiitwa watu nami nimo.
Thanks rod for the marce.
Hali kadhalika nami nakosea si malaikaa sijakamilika nikikosea tena MUNGU nisamehee x2
Asaante MUNGU kwa wema wote x4
yah..!
Nasema asante kwa wema wote.
Ukalimu wako ndo umefanya me nisikose......................