Yes Bana ft. Bien (Sauti Sol) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Eyoo motif turn me up on them headphones bro
Warrup
(Yes bana, yes bana, yes bana)
Uh
Yes bana, yes bana
Yes bana, yes bana
Yes bana, yes bana
Yes bana, yes bana
Hii mwaka nimejam na sijali (Yes bana)
I swear nimekam na makali (Yes bana)
Naona mafan wana swali (Yes bana)
Snitch anarun kwa askari (Yes bana)
Look mi napiga hatari (Woo)
Ooops nishalipa mahari (Iyee)
Dem nishapata wa kumarry (Yes bana)
Mamacita jo ni chupa shinda Zari (Yes bana)
Mi niko na flow kali kali (Yes bana)
Mi hupiga show mbali mbali (Yes bana)
Mi niko na doh na magari (Yes bana)
We unahate na una soo kwa Mshwari (Hahaha)
Nitapiga collabo na Fally (Rrrah)
Then ngoma na Dola Kabari (Omollo)
Arrowbwoy, Kang Kaka, Juacali (Yes bana)
Play KE jo na si tafadhali (Yes bana)
Niaje watu wangu wa Asenali (Yes bana)
Season ni yetu msiworry (Yes bana)
Mi nishawapasha habari (Yes bana)
Ule kijana hodari (Yes bana)
Lazima tuishi kifahari (Yes bana)
Don nina links na Omari (Yes bana)
Biz pia napiga na Passaris (Yes bana)
Veve nashikisha na maarif (Yes bana)
2020 tuko key (Yes bana)
Bien Aime na OG (Yes bana)
Itabidi mmetii (Yes bana)
Ju sisi ndio commitee (Yes bana)
And they got nothing on we
Jogoo wa shamba anawika mjini (Yes bana)
Manoti si mashilingi (Yes bana)
Kuna mashore kwa wingi
Marijuana pon di corner (Yes bana)
Mbogi mzima ina choma (Yes bana)
Inatupandisha chopper (Yes bana)
In the city si ndio hopper (Yes bana)
Marijuana pon di corner (Yes bana)
Mbogi mzima ina choma (Yes bana)
Inatupandisha chopper (Yes bana)
In the city si ndio hopper (Yes bana)
Buda si huball ka Lukaku (Yes bana)
Mtaa mi huchill na mafiatu (Yes bana)
Gangsta timba ndio kiatu (Yes bana)
Tunapiga Ginger na Shaku (Yes bana)
Niko na mangoma za power (Woo)
Wanauliza mbona madawa? (Woo)
Vile nimeshona visawa (Iyeee)
Fly ka niko na mabawa (Haa!)
Mi ni ras jo ni dredi tu sina (What?)
Na nishaikuwa thegi Masimba (Hahahaha)
Najua mapedi na jina (Yes bana)
Either way hamwezi kunishinda (Yes bana)
Ukikuja East mi kamanda (Yes bana)
Try kunidiss pia ni blunder (Yes bana)
Form ni mazishi na matanga
Na mi sina beef na Ohanga (Spendii)
Ohanga hunitakii kwa nini (Yes bana)
Mbona usifanye traki na mimi (Yes bana)
Tutop hizi charti za mjini (Yes bana)
After that you will be happy amini (Yes bana)
Staki interview za gazeti (No)
Maswali za ufala hazileti (Nop)
Mi huomba ka Dingi wa Nzeki (Woo)
GOAT ka Ronaldo na Messi (Brr)
Nani mwingine ka mimi? (Hakuna)
Mafuta napaka Marini (Ey)
Gut shinda Rosa na Timmy (Omollo)
Mi hurap kama hover na nyinyi? (Ey)
Shinski collabo tufanyi (Yes bana)
Tushike from Dago to Cani (Yes bana)
Intabrothagwa semanyi (Yes bana)
Usitry kunishow haiwezekani (Yes bana)
Huddah simu hashiki (Yes bana)
Anadhani mi nadai kupiga miti (Yes bana)
Nina wife jo sipendi hizo kiki (Yes bana)
Am done with the shit jo oriti (Yes bana)
Papa Jones!
2020 tuko key (Yes bana)
Bien Aime na OG (Yes bana)
Itabidi mmetii (Yes bana)
Ju sisi ndio commitee (Yes bana)
And they got nothing on we
Jogoo wa shamba anawika mjini (Yes bana)
Manoti si mashilingi (Yes bana)
Kuna mashore kwa wingi
Marijuana pon di corner (Yes bana)
Mbogi mzima ina choma (Yes bana)
Inatupandisha chopper (Yes bana)
In the city si ndio hopper (Yes bana)
Marijuana pon di corner (Yes bana)
Mbogi mzima ina choma (Yes bana)
Inatupandisha chopper (Yes bana)
In the city si ndio hopper (Yes bana)
2020 tuko key (Yes bana)
Bien Aime na OG (Yes bana)
Itabidi mmetii (Yes bana)
Ju sisi ndio commitee (Yes bana)
And they got nothing on we (Yes bana)
Jogoo wa shamba anawika mjini (Yes bana)
Manoti si mashilingi (Yes bana)
Kuna mashore kwa wingi
Marijuana pon di corner (Yes bana)
Mbogi mzima ina choma (Yes bana)
Inatupandisha chopper (Yes bana)
In the city si ndio hopper (Yes bana)
Marijuana pon di corner (Yes bana)
Mbogi mzima ina choma (Yes bana)
Inatupandisha chopper (Yes bana)
In the city si ndio hopper (Yes bana)
(Aaah aaah...)
Yes bana, yes bana
Yes bana, yes bana
125, 1960 Yes bana