![Watabonga ft. Khaligraph Jones](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/19/d0ce810c91f740099ea25b8a59ce69c7.jpg)
Watabonga ft. Khaligraph Jones Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Watabonga ft. Khaligraph Jones - H_ART THE BAND
...
ye ye yeah
(modecai)
wakubonga watabonga Sana
wakiona jinsi twapendana na vile roho zetu zina faana na vile Kila siku nawe furaha
ohhh my my I told no lie
up all night candle lights and a bottle of wine to set the vibe
watafanya Nini kutu tenga
waambie wasome lebo speak your mind ohhh baby dance to my tempo
it's ohh right and your my kinda rebel so am I watafanya Nini kutu tenga
{chorus}
watabonga (bonga) watabonga sanaa ×3
nasita koma
I will keep on loving you my baby
watabo watabonga ×3
(hook)
watabonga bonga sana ni maneno tu
nivigumu kuzozana mimi na wewe boo
wamengoja Sana kutugawanyisha hawachoki hawaoni Ni mbali tulipotoka binadamu hao
{chorus}
watabonga (bonga) watabonga sanaa ×3
nasita koma
I will keep on loving you my girl(baby)
watabo watabonga ×3
(khaligraph Jones OG)
uhhhhh wakubonga waende CNN na BBC ushaomoka na Omollo au ni TBT umeivisha kidogo niroge na kikisii ATI wamecatch reason skuizi hauwatingishi nakumbuka ile time nikiishingi D ukikam kwa keja ilikua movies tu kwa DVD ukanikazia ATI hautaki pigwa miti please but I'm chill cause you know me ama ndizi G wanabonga but kelele tupu Buda yao baby hatutaki kwere uku my apologies kwao but nika pole hawataki so the only thing we giving is kidole Cha kati uhh they'll be happy but mi sijui wanasema Nini jusioni vile inawahusu kati ya we na Mimi ju we na Mimi Ni collabo moja flames papa Jones signing out I know you feeling the same OG
.......
watabonga (bonga) watabonga sanaa ×3
(Eiihhh)
nasita koma
I will keep on loving you my baby
watabo watabonga ×3 .