![Usiseme No](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/89/97/rBEezlxIZwWAKvs7AADJvjIS7Oc278.jpg)
Usiseme No Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Usiseme No - H_ART THE BAND
...
msupa karibu keti chini
nimekawia kukuona ooh kukuona sibabiki vile siku hizi kuna vile imekuwa ukinitoka oh kunitoka ukiniona mtaani vichochoroni wewe unapiga kona unapiga Kona nieleze kama ni mapenzi ama no ukweli vile naskia eti umechoka na kile unataka mm nitado ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na usiku usiku usikuuuu na kile unataka mi ntado baby ili niwe na we kila siku mapenzi tele mchana na usiku usikuuu usiku eeee natamani tukuwe poa nieleze kama nimenoa ili kwako niweze rejea usiseme no no no x2 usiseme no usiseme no usiseme no no no usiseme no no usiseme no don't say no...usiseme nooo unanistalk instagram