![Nihurumie](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/ED/D5/rBEeM17REaOAP_E4AADKXHbNnsw253.jpg)
Nihurumie Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Nihurumie - Kathy Praise
...
NIHURUMIE by KATHY PRAISE Nihurumie Naja mbele zako babaaa.. NihurumieYesu means wa Saudi Nakuitaaa.. Nihurumieeee..Yesueee.. Ooh Yesu unihurumiee.. Ooh Yesu unihurumiee.. Ooh Yesu unihurumiee Ooh Yesu unihurumiee Mungu wa Miungu..wana wa Mabwana. Tegemeo langu..Leo Naja Kwako. Uliyemtoa..Mwanao Yesu Ili anifiee..Ninakushukuru Ninapokuiitaa..Ukanisikiee.. Na kilio changu kikakufikiee.. Mwana wa Daudi.. Ooh Yesu unihurumiee.. Ooh Yesu unihurumiee.. Ooh Yesu unihurumiee Ooh Yesu unihurumiee Uliyemgusaa Batomayoo Baba.. Kamfungua macho anapata kuona. Mama aliyetokwa na damu alipoligusa. Hilo vazi lako ulimponya Matatizo yangu nayaleta kwako Nazo shida zangu ukazimalize. kama kipofu Batimayo Baba.. Ooh Yesu unihurumiee.. Ooh Yesu unihurumiee.. Ooh Yesu unihurumiee Ooh Yesu unihurumiee Unayefariji waliofiwa Mfariji wangu usinipitee.. Mine wa Wajane Baba wa Yatima Tegemeo langu Nakutazamia Nifungue macho Nikuone Baba Ombi langu Leo uniguze tena Ombi langu Leo . Ooh Yesu unihurumiee.. Ooh Yesu unihurumiee.. Ooh Yesu unihurumiee Ooh Yesu unihurumiee