![Nitaimba Sifa Zako](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/28/1926c4be2f894a7ba5bc776f71e85315.jpg)
Nitaimba Sifa Zako Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nitaimba Sifa Zako - Kathy Praise
...
Jina lako bwana ...liinuliwe...we ni Mungu uliye juu
hakuna mwingine kama wewe
we ni Mungu mwenye nguvu
chorus.
nitaimba sifa zaaako
nitatangaza wema
nitasifu jina lako milele na milele
nitaimba sifa zaaako
nitatangaza wema
nitasifu jina lako milele na milele
Sina mwingine wa kuabudu ila wewe Mungu wanguuu
sitachoka kamwe kukuimbia we ni Mungu mwenye nguvu...
Sina mwingine wa kuabudu ila wewe Mungu wanguuu
sitachoka kamwe kukuimbia we ni Mungu mwenye nguvuu
chorus
nitaimba sifa zaaako
nitatangaza wema
nitasifu jina laako milele na milele
nitaimba sifa zaaako
nitatangaza wema
nitasifu jina laako milele na milele
sifa zote ni zako
Ewe Mungu mwenye nguvu
utukufu niwako mwokozi wastahili
sifa zote ni zako
Ewe Mungu mwenye nguvu
utukufu niwako mwokozi wastahili
nitaimba sifa zaaako
nitatangaza wema
nitasifu jina laako milele na milele
nitaimba sifa zaaako
nitatangaza wema.
nitasifu jina laako milele na milele
nitaimba sifa zaaako
nitatangaza wema
nitasifu jina laako milele na milele