![Sinema ft. Tokodi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/32/BA/rBEeqFwFEaaAVG1EAADMSHi1_N8285.jpg)
Sinema ft. Tokodi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sinema ft. Tokodi - King Kaka (Rabbit)
...
[intro:king kaka]
unajua
kuzaliwa Eastlando sijui wasee hutuchukulia aje
Tokodi
magix enga
ebu take it away
[chorus: Tokodi]
wanipenda mtaa gani mimi siezi enda
wananipenda maisha yangu buda nisineema
its a movie lights camera action it's a movieײ
x2
[verse: king kaka]
na iyo light camera na mtaa kulikua na action
one Jiono matha akapata notice ya eviction
na ilikua punch tu the late tumemweka kwa tisho
nazikifade tunawachora tatoos
tulianza kurap kwa desk to kurap kwa base
mkona wa bwana itanifikia lini jah bless
saii back stage moja na end sheraan mi ni judge blaze
na all this [?] bado mi ni besthe wa kamjesh
siezi wachana na Eastlando mkono moja kwa bible
poetry yangu inamove keys kama Pablo
kwa river bank chafu ndio god unaeza pata
na ata ukue na lugha aje usikatie sister zako
[chorus: Tokodi]
wanipenda mtaa gani mimi siezi enda
wananipenda maisha yangu buda nisineema
its a movie lights camera action it's a movieײ
x2
[verse: king kaka]
iyo sponsor anaeza spend lkn love hauezi buy
from kasabuni to kayole
to ololo githurai
karao anataka chai na kahawa haina sukari
na iyo dau choma oya go kachumbari
kuoga ni luxury chapaz zina wodez
soo sad
ati wagodi ndio ma role model
na kuna family mtaani zimekafunga kama tuta
ukitaka kuita karao kua ready na dooh ya mafuta
Eastlando inspirational niko isenya nabonga juu ya pads
week ingine Nko na bill gates nabonga juu ya world
wakiskia nakam wananingoja kama dondoma part 3
we unadhani kwa nini wamenichora kwa mathree
[chorus: Tokodi]
wanipenda mtaa gani mimi siezi enda
wananipenda maisha yangu buda nisineema
its a movie lights camera action it's a movieײ
x2